Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kuacha mara moja tabia ya kuuza maeneo ya wazi ili kuhifadhi ardhi kwa matumizi ya dharura na maeneo mbadala yanapohitajika. Mhe. Pinda amesema hayo katika kikao cha wananchi na watumishi wa Ardhi Mkoa wa Kilimanjaro kilichofanyika Septemba 19, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa mkoa huo
0 Comments
Hakuna Maoni kwa Sasa